Naibu waziri wa Maji Mhe.Mhandisi Maryprisca  Mahundi(Aliyekaa mebele kiti chukundu cha kwanza kushoto) akifuatiwa na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma kanali Labani Thanas wakishuhudia utiaji wa saini wa ujenzi wa  Mradi wa Miji 28  na mkandarasi wa kampuni ya china Civil Engineering Contruction Corporation (CCECC), ambapo  mkataba huo unaenda kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji katika Mji wa Songea.