Mwenge wazindua mradi wa maji Pambazuko

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka 2023 Ndg.Abdalla Shaibu kaim akizindua mradi wa maji uliotekelezwa na Mamlaka katika eneo la Pambazuko ambapo hadi kukamilika kwake zaidi ya wakazi 3990 wananufaika kupitia mradi huo.Mradi umegharimu fedha kiasi cha shilingi milioni 578.